The Democratic Republic of the Congo striker, who is Yanga's lead scorer with eight goals this season, refuted assumptions by the majority of fans who think the matches involving the two most successful teams and arch-rivals are the toughest in the country. Molinga also explained why he thinks Tanzania's clubs are somewhat advanced in as far as ownership of home grounds is concerned. If that is improved everything will be good. Molinga also praised Tanzanians for showing love and supporting their teams when they play either at home or away.

Kiplagat Sang. How did coronavirus start and where did it come from? Was it really Wuhan's animal market? Chaos in Alexandra over food parcels. Read more. Microsoft may earn an Affiliate Commission if you purchase something through recommended links in this article.

Did you find the story interesting? Like us on Facebook to see similar stories. I'm already a fan, don't show this again. Send MSN Feedback. How can we improve? Please give an overall site rating:. Privacy Statement.Just click on the country name in the left menu and select your competition league results, national cup livescore, other competition. Mohamed Issa Banka 8. Accessibility Help. Download it for free!. Popular Videos - Simba S. Dk 65, Yanga wanafanya shambulizi la kushitukiza, mabeki wa Simba wamezidiwa ujanja, lakini Manula anatoka na kuokoa Dk 62, Ajibu anamfanyia madhambi Shomari, mwamuzi anampa onyo kwa mdomo tu akimsisitiza kutulia.

Wafungaji wa magoli kutoka timu ya Simba ni Awadh Juma na Elias Maguri ambapo mabao yote yamefungwa katika kipindi cha kwanza. Kagere and his teammates were stunned by the defeat to […]. Watch Queue Queue. All the action and interaction will be reproduced below so stay with us for live text commentary with Claudia Ekai. Timu ya Simba imeibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya Yanga huku timu ya Yanga wakiambulia kuondoka na maumivu ya kushindwa kufurukuta kwa bao hata moja.

Waamuzi Tanzania wapigwa msasa kupunguza makosa. This video is unavailable. No comments: Post a Comment. Popular Video en.

Simba vs Yanga 2-1 Magoli yote

Akizungumza jana, Katibu Mkuu wa Yanga, Celestin Mwesigwa alisema klabu yao haioni sababu ya kutoiombea Simba mazuri pale linapokuja suala la kitaifa. The Telegraph.

Simba Sports Club

Ghanaian star Bernad Morrison was the hero for the. One thought on " picha za simba sport club na yanga sport club leo hii!!! Adeyum Ahmed 4. April 28, in Michezo. Join our live coverage of the Dar es Salaam derby as Simba take on Yanga. Tambwe: Misimu sita ya jasho na damu, Zahera alimmaliza January 10, by Global Publishers. Matokeo ya Simba vs Yanga Timu ya Simba imeibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya Yanga huku timu ya Yanga wakiambulia kuondoka na maumivu ya kushindwa kufurukuta kwa bao hata moja.Mghana Bernard Morrison ndiye aliyewainua vitini mashabiki wa Yanga baada ya kufunga bonge la bao dakika ya 43 kwa shuti kali la faulo ya moja kwa moja, lililotokana na yeye mwenyewe kuchezewa rafu na kiungo Jonas Mkude.

yanga vs simba jana

Yanga waliuanza mchezo huo kwa kasi na dakika ya kwanza tu walipata kona iliyopigwa fupi kwa Morrison aliyepiga krosi ambayo ilimpita kwa nyuma kiungo Ditram Nchimbi. Mchezo huo ulianza kwa kasi kubwa katika dakika 10 za kwanza, timu hizo zikishambuliana kwa zamu.

Lakini Yanga walionekana kuwa bora zaidi katika dakika hizo kutokana na kutengeneza nafasi nyingi. Dakika ya 11, Nchimbi alipiga shuti kali akiwa nje ya eneo la hatari, likatoka nje ya lango baada ya kupokea pasi ya Juma Abdul. Dakika ya 14, Yanga walikosa bao baada ya Nchimbi kupiga krosi ya chini ambayo ilidakwa na kipa Manula.

yanga vs simba jana

Dakika ya 18, Nyoni alikaa chini akiashiria kuwa ameumia lakini alitibiwa na kurejea uwanjani. Dakika ya 20, Yanga walipata kona ya pili ambayo haikuwa na madhara kwa Simba.

Kumbe Nyoni aliumia, kwani hakuweza kuendelea na mchezo, alitoka dakika ya 22 na nafasi yake ikachukuliwa na Kennedy Juma. Dakika ya 24, Nchimbi alikosa tena bao baada ya kugongana na mpira akiwa ndani ya 18, kufuatia pasi ya chini ya Jaffar Mohammed.

Dakika ya 26, kiungo wa Simba, Jonas Mkude alipewa kadi ya njano baada ya kumchezea faulo ya makusudi Morrison wakati mwamuzi tayari alikuwa ameshapuliza filimbi. Simba nusura wapate bao dakika ya 29 wakati Luis alipopiga shuti kali lililopanguliwa na Metacha lakini mpira ukabaki kwenye eneo la hatari, ukakutana na Bocco, ambaye naye alipiga shuti, Metacha akapangua tena, kisha mabeki wakaokoa hatari hiyo.

Simba walipata kona ya kwanza dakika ya 36, baada ya Makapu kuutoa mpira nje. Dakika ya 39 Simba walikosa nafasi nyingine ya goli baada ya Meddie Kagere kupiga shuti lililogonga mwamba na mpira kurejea uwanjani, ukamkuta Luis ambaye alipiga shuti jingine lililopanguliwa na Metacha. Dakika ya 47 kipindi cha kwanza, Kagere alikosa tena bao baada ya shuti lake kupanguliwa na Metacha, inakuwa kona lakini haina madhara.

Kipindi cha pili kilipoanza, dakika ya 50, Morrison alikosa bao la wazi baada ya kushindwa kuunganisha mpira wa krosi wa Jaffar. Morrison alitoka uwanjani baada ya kuumia, na nafasi yake ikachukuliwa na Patrick Sibomana, aliyeingia moja kwa moja na kupiga faulo inayookolewa na mabeki wa Simba na kuwa kona. Dakika ya 61, Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Kahata na nafasi yake ikachukuliwa na Deo Kanda. Lakini dakika moja baadaye, Nchimbi alikosa bao la wazi baada ya kufanikiwa kumtoka beki Pascal Wawa, akabaki na kipa Manula, akapiga pasi iliyokosa wamaliziaji waliochelewa.

Dakika ya 86, Yanga anatoka Balama na kuingia Deus Kaseke. Matokeo hayo yameifanya Yanga ipande hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi, ikiwa na pointi 50 baada ya kucheza mechi Simba bado ipo kileleni ikiwa na pointi 68, lakini ina michezo miwili mbele ukilinganisha na Yanga.

Kama Yanga akishinda viporo vyake viwili, atabakiza pointi 12 kabla ya kuwafikia Simba. Dakika ya 91, Kaseke alikosa bao baada ya shuti lake kugonga mwamba kutokana na pasi nzuri ya Sibomana.

Lakini dakika moja baadaye, Kennedy alipiga shuti lililokwenda nje kidogo ya lango.Post a Comment. Home About Contact.

Kariakoo Derby: Yanga SC vs Simba SC encounter will amaze Caf boss Ahmad - Nugaz

Darvel Forum. Post Top Ad. Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga Jumapili hii imemalizika kwa sare ya mabao kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Mchezaji wa Yanga, Jerry Tegete akiwalaumu wachezaji wa ndani baada ya Simba kusawazisha goli la 2 katika kipindi cha pili Mrisho Khalfan Ngassa ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwanyanyua mashabiki wa Jangwani kwa kufunga bao la kwanza katika dakika ya Kipa wa Simba aliumia shingo baada ya kubabatizana na mchezaji wa Yanga katika harakati za kulinda lango Katika dalili ya wazi kuwa bahati ilikuwa kwa Hamisi Kiiza, mchezaji huyo aliitikisa tena nyavu ya Wekendu wa Msimbazi na kuifanya idadi ya magoli kuwa 3 bila, hali iliyoendelea hadi timu hizo zilipoenda mapumziko.

Mashabiki wa Simba wakiongozwa na muigizaji wa filamu nchini Jacob Stephen aka JB wakiwa na nyuso za huzuni na zilizokata tamaa baada baada ya Simba kufungwa mabao 3 katika kipindi cha kwanza Kama vile waliamshwa usingizi, wachezaji wa Simba waliingia uwanjani kwenye kipindi cha pili wakiwa na nguvu za ajabu na kuanza mashambulizi yaliyoivunja ngome ya Yanga. Haikuchukua muda mrefu, nguvu mpya za Simba zikaanza kuzaa matunda. Mashabiki wa Simba wakiwa wamepata nguvu mpya, wakishangilia Katika dakika ya 54 tu, Betram Mombeki alifunga goli la kwanza la Simba.

Mashabiki wa Yanga wakionekana kutoamini jinsi upepo ulivyobadilika Goli la pili liliwapa nguvu zaidi Simba waliondelea kuwashambuliwa Yanga kwa kasi.

Katika hatua hiyo wachezaji wa Yanga walianza kujichanganya na kuwadhoofisha zaidi hadi kumpa mwanya beki Kaze Gilbert kusawazisha goli la tatu na kuvifanya vibao vya magoli uwanjani humo kusomeka Yanga 3 — Simba 3. Mashabiki wa Yanga na Simba wakitambiana baada ya mechi kumalizika Tazama picha zaidi za mambo yalivyokuwa kwenye mechi hiyo. No comments:. Newer Post Older Post Home.

Subscribe to: Post Comments Atom. Author Details. Ilienea mtandaoni mwishoni mwa mwaka jana Na Wanaume wa Global walii-diskasi sana. Sasa je ni kweli ufundi ndio muhimu Pages Home.Dar es Salaam. Kipigo cha bao ilichokipata Simba kutoka kwa Yanga jana kwenye Uwanja wa Taifa, kimeendeleza nuksi ya mabingwa hao kila wapocheza mbele ya Marais wa Tanzania.

Hii ni mara ya tatu mfululizo Simba ikiwa na kikosi bora, lakini inapocheza mbele ya Marais wa Tanzania imekuwa ikiambulia kichapo cha aibu. Ikumbukwe kwamba Simba ilitoka sare ya kutofungana ugenini dhidi ya Stella Abidjan na ilikuwa inahitaji ushindi wa aina yoyote nyumbani ili itwae ubingwa. Rais Magufuli alikuwa amevaa jezi yake ambayo nusu ilikuwa na rangi ya Yanga na upande mwingine rangi nyekundu huku akiwa amevaa kofia yenye rangi ya bendera ya Tanzania.

Mshambuliaji Bernard Morrison alikuwa shujaa wa Yanga kwa kufunga bao pekee kwa mpira wa adhabu katika dakika 44 ya kipindi cha kwanza uliokwenda moja kwa moja wavuni na kumuacha kipa wa Simba, Aishi Manula akiruka bila matumani. Mwanzo Michezo.

Habari zinazohusiana na hii. Uhamiaji wataja ugumu uchunguzi wa uraia wa Nondo, Eyakuze Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imesema uchunguzi wa uraia wa baadhi ya watu wanaotiliwa shaka.Filimbi ya kumaliza mpira itakayopulizwa na mwamuzi Jonensia Rukyaa baada ya dakika 90 za waungwana hao kumenyana, ndipo kila upande utakapojua ulichovuna na tambo za mashabiki, wachezaji na viongozi zitakuwa zimeishia hapo.

Ni mchezo ambao huvuta hisia za mashabiki wengi wa soka, ambao huwa hautabiriki hata kama moja kati ya timu hizo inaonekana uwezo wake ni mdogo kulinganisha na nyingine. Simba itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kipigo cha mabao ilichokipata Septemba 25 mwaka jana katika mchezo wa duru la kwanza la ligi hiyo, matokeo ambayo bado yanaitesa klabu hiyo.

Mabao ya Yanga yalifungwa na Amis Tambwe na Malimi Busungu, ambayo kwa kiasi fulani yalipokewa kwa furaha kubwa na mashabiki wa Yanga. Yanga inaingia ikiwa na safu inayotisha ya ushambuliaji ikiongozwa na Mrundi Amis Tambwe anayeshika nafasi ya pili kwa ufungaji akiwa na mabao 14 nyuma ya Hamisi Kiiza wa Simba mwenye mabao Pia Yanga inaye mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Donald Ngoma, ambaye ameonekana kuwa mwiba mchungu kwa mabeki na raia wa Niger, Issoufou Boubacar.

Safu ya ushambuliaji ya Simba itakuwa na Kiiza raia wa Uganda, ambaye ni tumaini la timu hiyo katika kucheka na nyavu, akisaidiana na Mzawa, Ibrahim Ajib aliyefunga mabao manane hadi sasa. Washambuliaji wengine wa Simba ni Danny Lyanga, Haji Ugando na huenda Mussa Mgosi naye akapewa nafasi kutokana na uzoefu wake katika mechi hizo, ingawa amekuwa hana nafasi katika kikosi cha Simba. Simba itaingia uwanjani ikiwa chini ya kocha Jackson Mayanja ambaye ameiongoza timu hiyo mechi saba na kufanya vizuri ikiwa ni pamoja na kuongoza ligi ikiwa na pointi 45, wakati Yanga inashika nafasi ya pili ikiwa na pointi Mazingira ya kuongoza ligi pamoja na kushinda mechi karibu saba mfululizo kwa kiasi fulani yamewapa.

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBetJiunge Hapa. Tufuate instagramfacebook na twitter.

Pia kutangaza nasi tutumie emailbongosoka gmail. Soma Habari zaidi kuhusu: Simba Yanga. Simba VS Yanganani kupata matokeo mazuri leo? Mazingira ya kuongoza ligi pamoja na kushinda mechi karibu saba mfululizo kwa kiasi fulani yamewapa Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBetJiunge Hapa. Kuelekea Simba VS Yanga leonini unapaswa kufahamu….Jana kulikuwa na utoaji tunzo wa klabu za Simba, kitu ambacho ni kikubwa na chenye kuigwa kwa vilabu vingine ndani ya nchi yetu.

Kuna vitu vingi sana ambavyo vilionekana jana. Inawezekana mjadala mkubwa ni kwenye tunzo ambazo zimetolewa. Lakini kwangu mimi kuna kitu kimoja ambacho nilikitazama jana.

yanga vs simba jana

Uvaaji wa wachezaji na benchi la ufundi wa Simba. Uliwatazama walivyokuwa wamevaa?. Walikuwa wamevaa suti maridadi sana. Suti ambazo ziliwakaa vizuri sana. Suti ambazo ziliwapendezea sana, walikuwa wanatamanika sana kuwatazama jana. Hivo ndivyo ambavyo mchezaji anatakiwa kuvaa kwenye hafla kama hizo. Jana wakati nawatazama nilikuwa najiuliza hawa ni wachezaji wa Manchester United au RealMadrid?

Walikuwa wamependeza sana. Kitu hiki ni kizuri sana kibiashara, picha ya bidhaa ya Simba inaonekana vizuri mbele ya macho ya wengi ikiwemo hata wafanyabiashara. Kitu hiki huongeza thamani sana ndani ya bidhaa husika kwa sababu hutoa tafasri moja ambayo ni kubwa sana kibiashara kuwa Simba wamejipanga kwenye kila kitu.

yanga vs simba jana

Yani ndani ya timu kuna mpangilio mzuri kwenye kila idara, idara ya mavazi iliandaliwa kabisa kwa ajili ya kuwavalisha wachezaji na idara zingine ziliandaliwa kwa ajili ya kufanya kazi ipasavyo. Mfanyabiashara huenda sehemu ambayo kuna mpangilio mzuri wa kila kitu.

Pesa huenda sehemu ambayo kuna mpangilio, pesa haiendi sehemu ambayo hakuna mpangilio. Wakati jana Simba walionekana kujipanga vizuri kuanzia kwenye idara ya mavazi, wenzao Yanga wao bado hawajafikia huku. Unakumbuka ile hafla ya kufuturisha iliyifanyika wiki iliyopita pale Serena Hotel?.

Unakumbuka wachezaji wa Yanga walivyokuwa wamevaa na benchi la ufundi walivyokuwa wamevaa? Unaikumbuka picha ya pondamali na vazi lake?. Kwa kifupi hakukuwepo na mpangilio mzuri wa mavazi kwa wachezaji na benchi nzima la ufundi. Walivaa ovyo, kila mtu alivaa kivyake. Hivi ilishindikana kweli Yanga kutafuta mbunifu wa mavazi akawavalisha Yanga kanzu? Kukawa na mpangilio mzuri wa hafla?. Walichokifanya Yanga ni kuishusha thamani ya bidhaa ya Yanga.

Kumbuka nimekuambia pesa huenda sehemu ambayo kuna mpangilio mzuri. Kama Yanga watashindwa kujipangiliwa vizuri ni ngumu kupata watu wa kuja kuweka pesa ndani ya timu. Ligi Kuu. Simba haikumuelewa MO? Kikosi kinachotisha, unakumbuka nini zaidi hapo? Pata Bando la Intaneti kutoka Mtandao wetu. Kiongozi Yanga: Simba imepigwa na mwekezaji. Papy Tshishimbi ana nafasi kikosi cha Simba- Haji Manara. Usajili wao ulichelewa huenda wangeziokoa timu zao zaidi.

Huu ndio usajili bora VPL dirisha dogo?


Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *